Ads

Nandy Amleta Koffi Olomide Bongo Ni Ujio Ngoma Yao Mpya


 Nandy Amleta Koffi Olomide Bongo Ni Ujio Ngoma Yao Mpya

Usiku wa kuamkia January 26,2021 Mwimbaji Nandy amempokea mwanamuziki Mkongwe kutokea Congo, Koffi Olomide ambaye amekuja Bongo kwaajili ya kazi za muziki walizoshirikiana na Nandy. Koffi baada ya kupokewa alitoa zawadi na kumpatia Nandy kisha kufunguka haya mbele ya waandishi wa habari.

Kama mnavyoona Moppa yuko Tanzania amekuja kwaajili yangu mimi na kwasababu tuna collabo ya pamoja, ni ndoto yangu ya muda mrefu na hatimame mwaka huu 2021 nafanikisha’- Nandy’

TAZAMA HII VIDEO HAPA UJIONEE NANDY ALICHOZUNGUMZA NA ZAWADI ALIYOPEWA NA KOFFI OLOMIDEPost a Comment

0 Comments