Mwigizaji Jengua afariki dunia


 Muigizaji wa filamu Tanzania, Mzee Jengua amefariki dunia leo Jumanne Desemba 15, 2020 Mkuranga mkoani Pwani.

Taarifa iliyotolewa na katibu wa chama cha waigizaji Mkoa wa Dar es Salaam, Doricy Kente inaeleza kuwa mke wa msanii huyo amethibitisha kifo hicho.

                     👇👇👇👇👇👇👇👇


SHARE PLEASE 🙏🙏🙏🙏

Post a Comment

0 Comments