DC Jokate afiwa na Baba yake Mzazi “alilazwa ICU”

DC Jokate afiwa na Baba yake Mzazi “alilazwa ICU”

 Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo , Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia Alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa (ICU) kwa muda sasa baada ya kupata kiharusi (stroke).

DC Jokate ametuthibitishia taarifa hizo na kusema taratibu za mazishi bado zinaendelea nyumbani kwa Marehemu.

Post a Comment

0 Comments