Wafuasi 20 Wa CHADEMA Wakamatwa - Shinyanga


 October 3, 2020 Jeshi la Polisi Mkoani Singida limewafikisha Mahakamani viongozi na wafuasi 20 wa CHADEMA kwa tuhuma za kukusanyika na kufanya kikao ili kuhamasisha Wananchi kufanya vurugu.

CHADEMA ni moja kati ya Vyama vilivyotangaza kufanya maandamano ya bila kikomo Nchi nzima kuanzia Novemba 2 ili kudai Tume Mpya na Huru ya Taifa ya Uchaguzi na pia Uchaguzi Mkuu urudiwe.

Viongozi kadhaa hadi sasa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuwa madai ya kuwa maandamano yaliyopangwa yana nia ya kufanya vurugu.

No comments