Tundu Lissu aeleza vipaumbele vyake iwapo atachaguliwa

 Katika mfululizo wetu wa kuzungumza na wagombea wa viti vya urais Tanzania bara na Zuhura Yunus anazungumza na mgombea kiti cha urais kwa tiketi ya chama cha Chadema Tundu Lissu ,

Ambapo ameanza kwa kumuuliza kuhusu vipaumbele vyake iwapo atachaguliwa .

No comments