Senzo Amkaribisha Kocha Mpya Yanga


Senzo Amkaribisha Kocha Mpya Yanga -Video

MSHAURI  wa uongozi wa Klabu ya Yanga, Senzo Mazingiza, leo Oktoba 16, 2020, amemkaribisha klabuni hapo kocha mpya, Cedric Kaze, na kumhakikishia ushirikiano wa kutosha kutoka kwa uongozi,  kamati za klabu hiyo na  mashabiki.

Naye Senzo, pamoja mambo mengine,  amekishukuru kituo cha Azam TV kwa kufanya mambo mengi ikiwemo kuonyesha live  tukio zima la kocha huyo kusaini mkataba na klabu hiyo.

Post a Comment

0 Comments