Mwanamke wa kwanza kuwa Kocha Misri


 Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Wanawake ya Misri ambaye ameiongoza kwa miaka 10 Faiza Heidar (36) amekuwa mwanamke wa kwanza Misri kuwa kocha wa timu ya wanaume.

Faiza ambaye alipata elimu ya ukocha kutoka Ligi Kuu England, amekuwa kocha wa timu ya Ideal Goldi ya Ligi daraja la nne nchini Misri yenye maskani yake katika mji wa Giza

No comments