Matokeo ya Urais kwa Tanzania katika Majimbo manne


 Mwenyekiti wa Jaji Semistocles Kaijage ametangaza matokeo ya awali ya kiti cha Rais kutoka majimbo 16 ya Njombe Mjini, Nsimbo, Misungwi, Sengerema, Mpanda Mjini, Babati Mjini, Donge, Musoma Mjini, Mahonda, Bumbwini, Korongwe Mjini, Ileje, Makambako na Masasi.
Matokeo ya Awali ya Urais Jimbo la Korongwe Mjini, Tanga Magufuli John Pombe Joseph kura 17,756 sawa na asilimia 84.75 Lissu Tundu Antiphas (CHADEMA) KURA 2,845 sawa na asilimia 13.58.
Matokeo ya Awali ya Urais Jimbo la Makambako,Njombe Magufuli John Pombe Joseph (CCM) kura 25,286 sawa na asilimia 83.12 Lissu Tundu Antiphas (CHADEMA) kura 4,847 sawa na asilimia 15.93.
Matokeo ya Awali ya Urais Jimbo la Magu, Mwanza Magufuli John Pombe Joseph (CCM) kura 13917 sawa na asilimia 79.59 Lissu Tundu Antiphas (CHADEMA) kura 1,812 sawa na asilimia 10.36.
Matokeo ya Awali kura za Urais Masasi Mjini, Mtwara Magufuli John Pombe Joseph (CCM) Kura 26,685 sawa na asilimia 69.5 Lissu Tundu Antiphas (CHADEMA) KURA 9,601 sawa na asilimia 25.01.

No comments