Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif akamatwa


 Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif amekamatwa kisiwani Zanzibar.

Maalim Seif alikamatwa na maafisa wa polisi mapema leo katika kituo cha kupigia kura cha Garagara hatua ambayo imeshutumiwa vikali na viongozi wa upinzani.

Taarifa zinaarifu kwamba barabara inayoelekea katika kituo hicho imefungwa huku vitoa machozi vikirushwa

No comments