Ticker

6/recent/ticker-posts

Advertisement

BREAKING: Mwinyi atangazwa mshindi Urais Zanzibar Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dr.Hussein Mwinyi wa CCM kuwa Rais Mteule wa Zanzibar kwa ushindi wa kura 380,402 sawa na 76.27%. akifuatiwa na Maalim Seif wa ACT Wazalendo mwenye kura 96,103 sawa na 19.87%.

Baada ya kutangazwa mshindi Dkt. Mwinyi ameshukuru Wazanzibari na kusema “Mimi Hussein Mwinyi si bora kuliko CCM ushindi huu ni wa wana Wazanzibari wote, uchaguzi sasa umekwisha turudi kujenga Zanzibar mpya”.

Post a Comment

0 Comments

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();