BASATA yakanusha kuufungia wimbo wa Lady Jay Dee


 BASATA yakanusha kuufungia wimbo wa Lady Jay Dee

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa nchini, limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambaa kuwa BASATA imeufungia wimbo ‘One Time’ wa Msanii Judith Wambura almaarufu Lady Jay Dee siza kweli.

No comments